Don't miss

Msaada Wa Sheria


MSAADA WA SHERIA

Tunatoa msaada wa Sheria bure. Kutokana na ratiba yetu kuwa finyu, msaada wa sheria utaupata siku za jumamosi na jumapili tu; hizi ndizo siku ambazo majukumu ya kiofisi yamepungua. Ili kupata msaada wa kisheria/ushauri unatakiwa kuandika kwa ufasaha suala lako lote kwenye barua pepe yetu ya mishpachabrucha@gmail.com. Kwa bahati mbaya, hautapata nafasi ya kuonana nasi uso kwa uso kutokana na ratiba yetu kuwa finyu, unaweza tu kuuliza maswali kwa barua pepe  nasi tutakujibu pale tunapopata nafasi.

vilevile, Tunatoa msaada wa bure kwenye mambo yafuatayo;-


  1. KUSAJILI KAMPUNI PAMOJA NA KUTENGENEZA MEMORANDUM NA ARTICLES OF ASSOCIATIONS. kabla haujafanya hivyo tunaweza kukupatia ushauri wa vitu muhimu vya kufanya kisheria. kwa namna hii, wajasiriamali wadogo wengi wasio na uwezo kuajiri wanasheria wanaweza kusajili kampuni wao wenyewe.
  2. MAUZIANO YA VIWANJA NA NYUMA
  3. MAUZIANO YA MAGARI
  4. MIKOPO YA BANK n.k

Ni muhimu kupata ushauri kabla hujafika mbali, kama wewe sio mwanasheria ili usipate matatizo mbeleni. USHAURI NI BURE. kama tulivyokwishaongea, ushauri au msaada huu wa kisheria ni siku ambazo sio za kazi tu, juma mosi na jumapili, au siku za sikukuu. PIGA 0767154141

0 comments: