Don't miss

Saturday, September 6, 2014

KUNUNUA VITABU VYA SHERIA KWA KISWAHILI BOFYA HAPA


UKITAKA KUNUNUA VITABU VYA SHERIA VILIVYOANDIKWA KWA KISWAHILI, weka mouse yako kwenye "PRODUCTS" hapo juu, utaona pameandikwa "vitabu vya sheria" bofya utaona vitabu mbalimbali unavyoweza kupata kwetu au kama haviko kwetu tutakuelekeza wapi vinapatikana. Kitabu mojawapo ni kitabu cha SHERIA KWA KISWAHILI kilichoandikwa sheria ya ndoa, mirathi, wosia na watoto wa kambo. pia waweza wasiliana nasi kujua maduka yetu kwa namba 0767154141. angalia namba zetu kwenye "mawasiliano" hapo juu. ARUSHA UTAVIPATA KASE BOOK STORE boma road, uliza yeyote pale city centre utaonyeshwa duka ni maarufu sana. kwa DSM piga namba 0767 154141 utaelekezwa wapi utavipata. maeneo mengine ya Tanzania wasiliana nasi kwa namba 0767 154141 ili uelekezwe namna ya kuvipata.

DOWNLOAD SHERIA ZOTE ZA TZ HAPA BURE, BOFYA HAPADOWNLOAD sheria mbalimbali za Tanzania hapa bure. Sheria zilizotafsiriwa kwa kiswahili fasaha kabisa. ili kupata sheria hizo bofa "DOWNLOAD" hapo juu, utaona list ya sheria mbalimbali, bofya sheria yeyote kati ya hizo itafunguka kwa PDF file. karibu. pia waweza kuwasiliana nasi kuuliza maduka yetu yalipo kwa namba 0767154141. angalia namba hapo juu kwenye "mawasiliano". 

kwa kupiga namba 0767154141 unaweza kununua vitabu mbalimbali vya sheria kwa kiswahili au kiingereza. unaweza kutuma hela ukaagiziwa kitabu pale ulipo au tukakuelekeza wapi utakipata katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.