Don't miss

Tuesday, October 29, 2013

SHERIA YA NDOA, MIRATHI, WOSIA, WATOTO WA KAMBOsheria ya ndoa,mirathi,wosia,watoto n.k, vimebaki vichache
bonyeza products katika blog hii utapata vitabu, pia waweza kubonyeza "download" utapata sheria mbalimbali bure. Peruzi vitabu mbalimbali kama vilivyoorodheshwa kwenye post mbalimbali hapa chini.Kama unahitaji vitabu hivyo wasiliana nasi ili tukuelekeze wapi pa kuvipata. email yetu ni mishpachabrucha@gmail.com, au Piga namba 0767 154141

Sunday, July 7, 2013

HAKI KATI YA MME NA MKE, KUGOMBANIA MTOTO N.K


KUJUA haki kati ya mme na mke, haki ya mjane katika mirathi, wajibu wa baba wa nyumba, wosia sahihi kisheria, ugawaji mirathi kisheria, haki kwa mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa/mtoto wa kambo, na mambo mengi yanayofanana na hayo tafuta kitabu hicho hapo juu. Kimeshasambazwa miji yote mikuu Tanzania. wasiliana nasi utuambie uko wapi, na kama unahitaji kitabu hiki tutakuelekeza namna ya kukipata.  piga 0767 154141. karibuni sana.