Don't miss

Saturday, September 6, 2014

KUNUNUA VITABU VYA SHERIA KWA KISWAHILI BOFYA HAPA


By on 5:54 AM

UKITAKA KUNUNUA VITABU VYA SHERIA VILIVYOANDIKWA KWA KISWAHILI, weka mouse yako kwenye "PRODUCTS" hapo juu, utaona pameandikwa "vitabu vya sheria" bofya utaona vitabu mbalimbali unavyoweza kupata kwetu au kama haviko kwetu tutakuelekeza wapi vinapatikana. Kitabu mojawapo ni kitabu cha SHERIA KWA KISWAHILI kilichoandikwa sheria ya ndoa, mirathi, wosia na watoto wa kambo. pia waweza wasiliana nasi kujua maduka yetu kwa namba 0767154141. angalia namba zetu kwenye "mawasiliano" hapo juu. ARUSHA UTAVIPATA KASE BOOK STORE boma road, uliza yeyote pale city centre utaonyeshwa duka ni maarufu sana. kwa DSM piga namba 0767 154141 utaelekezwa wapi utavipata. maeneo mengine ya Tanzania wasiliana nasi kwa namba 0767 154141 ili uelekezwe namna ya kuvipata.

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments: